Mkuu
wa Jeshi la Polisi
nchini, Ernest Mangu akizungumza na waandishi wa habari leo katika kituo
cha Stakishari Ukonga jijini Dar es Salaam, kutokana na Askari wa Jeshi
la Polisi na raia wa eneo hilo kuuwawa na majambazi waliovamia katika
kituo hicho usiku wa kuamkia leo.